Salamanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
dNo edit summary
Mstari 14:
* Sirenoidea
}}
'''Salamanda''' ni [[mnyama|wanyama]] yawa [[oda]] [[Caudata]] katika [[ngeli]] [[Amfibia]] wafananao na [[mjusi|mijusi]]. Wanatofautiana na [[chura|vyura]] kwa kuwa na [[mkia]] hata katika hatua ya mnyama mzima. [[Ngozi]] yao haina [[gamba|magamba]] na ni laini na nyevu, lakini ngozi ya spishi nyingi za [[familia]] [[Salamandridae]] ni kama [[mahameli]] au ina [[sugu]]. Rangi ya salamanda ni nyeusi, kijivu au kahawia kwa kawaida, lakini madume ya spishi nyingi hupata rangi kali wakati wa kuzaa. Spishi kadhaa zina [[sumu]] katika ngozi yao na hizi zina daima madoa au milia ya rangi kali ili kuonya wanyama mbuai. Takriban salamanda wote wanatokea nusudunia ya kaskazini, lakini spishi kadha zinatokea [[Amerika ya Kusini]]. Spishi nne zinatokea [[Afrika]] tu, huko kaskazini ([[Maroko]], [[Aljeria]] na [[Tunisia]]).
 
==Ndubwi==