Diokletian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 69 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43107 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Gaius Aurelius Valerius Diocletianus''' (takriban [[245]] – takriban [[312]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Novemba]], [[284]] hadi [[1 Mei]], [[305]] alipojiuzulu. Alimfuata [[Kaizari Numerian|Numerian]].

Kwanza alitawala dola zima, lakini [[1 Machi]], [[286]] alimteua [[Maximian]] kutawala sehemu za Magharibi.
 
Ni maarufu kwa kuendesha [[dhuluma]] kali zaidi ya [[serikali]] ya Dola la Roma dhidi ya [[Wakristo]].
 
{{mbegu-Kaizari-Roma}}