74,295
edits
[[File:EMMANUEL-DELLY.jpg|thumb|right|280px|Patriarki
{{Kanisa Katoliki}}
'''Kanisa Katoliki la Wakaldayo''' (kwa [[Kiaramu]] ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ''ʿītha kaldetha qāthuliqetha'') ni mojawapo kati ya [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]], likifuata [[mapokeo]] ya [[Mesopotamia]] na kutumia [[liturujia ya Mesopotamia]]<ref>{{cite web|url=http://www.kaldu.org/14_Reformed_ChaldeanMass/QA_NewMass.html |title=TQ & A on the Reformed Chaldean Mass |accessdate=2009-02-07}}</ref>.
== Muundo ==
Kanisa hilo linaongozwa na [[Patriarki]] wa [[Babuloni]], kwa sasa [[
Chini yake kuna ma[[dayosisi|jimbo]] kati nchi hiyo, nyingine za [[Mashariki ya Kati]] na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya [[vita]] na [[dhuluma]]: [[Iran]], [[Siria]], [[Uturuki]], [[Lebanon]], [[Misri]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Australia]] na [[New Zealand]] n.k.
|