Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
Alikulia katika [[jiji]] hilo, ambalo wakati huo lilikuwa likiongoza kimataifa upande wa [[biashara]], [[ustaarabu]] na [[elimu]].
 
TanguAlipata elimu na malezi mazuri na tangu ujanani alihusiana na wamonaki wa jangwa la Tebais, halafu miaka 356-362 aliishi [[monasterini]].
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[Gnosi]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Maisha yote ya Atanasi yanahusika na juhudi kubwa za [[Kanisa]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]] hata akaitwa mapema “nguzo ya Kanisa” ([[Gregori wa Nazianzo]]).
 
Mwaka [[319]] [[askofu]] [[Aleksanda wa Aleksandria]] alimpa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]] na kumfanya katibu wake. Akiwa bado shemasi, mwaka 325 alimsindikiza na kumsaidia askofu wake Aleksanda wa Aleksandria kwenye [[Mtaguso I wa Nisea]] mwaka [[325]] ulioitishwa na [[kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] ilihasa kwa lengo la kujadili mafundisho ya [[padri]] wa Aleksandria, jina lake [[Ario]], kuhusu [[dhati]] ya [[Yesu Kristo]]. Huyo alisema [[Neno wa Mungu]] si Mwanae halisi, bali [[kiumbe]] tu, ingawa cha Kimungu kwa namna fulani. Hivyo alikataa uwezekano wa [[binadamu]] kushiriki [[umungu]] kwa njia ya [[Kristo]].
 
Dhidi ya Ario, aliyefuatwa mapema na watawala na maaskofu wengi, huo [[Mtaguso mkuu]] wa kwanza ulitunga [[kanuni ya imani]] ambamo ulitumia neno la [[Kigiriki]] ὁμοούσιος (''homoousios'', yaani "wa dhati ileile" ya [[Baba]]), ili kukiri kwa namna wazi usawa kamili wa [[Mungu Baba]] na [[Mwana]] aliyezaliwa naye bila kuumbwa.
 
Atanasi akishikilia moja kwa moja msimamo huo pengine mkali dhidi ya waliopinga uteuzi wake na dhidi ya waliokataa ungamo hilo ulimvutia chuki ya Waario wa aina zote na [[dhuluma]] ya [[serikali]] iliyodai maelewano ili umoja wa dola usivunjike.
Akishikilia msimamo huo moja kwa moja Atanasi alipaswa kustahimili dhuluma za serikali, hata akafukuzwa katika [[dayosisi|jimbo]] lake mara tano na kupelekwa uhamishoni tangu miaka michache baada ya kuchaguliwa [[Patriarki]] wa Aleksandria na wa Misri yote mwaka [[328]] (alipokuwa na umri wa miaka 30 tu) hadi mwaka [[366]], ambapo kaisari alilazimishwa na [[umati]] amrudishe Aleksandria.
Mara baada ya kushika nafasi ya [[marehemu]] askofu Aleksanda, Atanasi alionyesha hatakubali maelewano tofauti na imani iliyoungamwa na umati wa maaskofu huko Nisea. Ushindani wake na serikali ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye ushirika.
 
Akishikilia msimamo huo moja kwa moja Atanasi alipaswa kustahimili dhuluma za serikali, hata akafukuzwa katika [[dayosisi|jimbo]] lake walau mara tano na kupelekwa uhamishoni tangu miaka michache baada ya kuchaguliwa [[Patriarki]] wa Aleksandria na wa Misri yote mwaka [[328]] (alipokuwa na umri wa miaka 30 tu) hadi mwaka [[366]], ambapo kaisari alilazimishwa na [[umati]] amrudishe Aleksandria. Katika miaka 30, aliishi miaka 17 uhamishoni akiteseka kwa ajili ya imani.
 
Kumbe, akiwa mbali na Aleksandria, alitetea na kueneza hata [[Trier]] (leo nchini [[Ujerumani]]) na [[Roma]] ([[Italia]]) imani ya Nisea pamoja na umonaki. Ushindani wake na serikali ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye [[ushirika]].
 
Baada ya kurudishwa Aleksandria, aliendelea kuleta [[upatanisho]] ndani ya Kanisa na kulipanga upya.
Ushindani wake na [[serikali]] ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye [[ushirika]].
 
Katika mapambano yake aliungwa mkono na [[Sinodi ya Roma]] ya mwaka [[341]] na ile ya [[Sardica]] ya mwaka [[343]].
Line 33 ⟶ 39:
 
==Maandishi==
Pamoja na kyakeupatwa na [[vurugu]] nyingi maishani, Atanasi aliandika sana: [[hotuba]] na [[barua]], lakini pia vitabu juu ya [[imani]], [[historia]], [[ufafanuzi]] wa [[Biblia]], pamoja na [[maisha ya Kiroho]]. Kitabu chake maarufu kimojawapo kinahusu [[umwilisho]] wa Neno; humo aliandika kuwa [[Neno wa Mungu]] “alifanyika mtu ili sisi tuweze kufanywa [[Mungu]]”.
 
KitabuLakini kilichoathirikitabu ambacho kilienea na kuathiri zaidi maisha ya Kanisa labda ni "[[Maisha ya Antoni]]" ambacho kilieneza [[umonaki]] haraka mashariki na vilevile magharibi.
 
==Teolojia yake==