Volkeno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8072 (translate me)
nyongeza kidogo
Mstari 3:
'''Volkeno''' (pia: '''volkano''', '''zaha''') ni mahali ambako [[lava]] inatoka nje kwa uso wa ardhi. Mara nyingi -lakini si kila mahali- volkeno ni [[mlima]]. Volkeno huwa na [[Kasoko ya volkeno|kasoko]] yaani shimo ambako [[lava]] na gesi inatoka nje.
 
==Volkeno na ganda la dunia==
Volkeno ni dalili ya kwamba mahali pake [[ganda la dunia]] si nene sana hivyo joto la ndani linapata njia ya kutoka nje. Volkeno huanza katika tambarare. Lava hutoka katika hali ya kiowevu ikipoa haraka inaganda kuwa mwamba na hujenga mlima wa kuzunguka shimo la kasoko yake. Milima ya aina hii inaweza kukua sana. Mfano wa volkeno kubwa ni [[Mlima Kilimanjaro|Kilimanjaro]]. Miamba yake yote ilijengwa na lava iliyotoka ndani ya dunia.
 
Line 9 ⟶ 10:
Sababu nyingine ya kutokea kwa volkeno ni kuwepo kwa chumba cha [[magma]] ndani ya ganda la dunia.
 
==Volkeno hai na volkeno bwete==
[[Mlipuko wa volkeno]] ni hatari sana kwa ajili ya wanadamu na mazingira. Kuna mifano ya vifo vingi vilivyosababishwa na volkeno. Hasara inategema kama miji iko karibu na volkeno au la, na kama serikali zina huduma za kutazama volkeno na kuonya watu watoke mapema wakati dalili za kwanza zinatokea.
Volkeno inaweza kutokea kama volkeno hai inayoendelea kutema moto, gesi na majivu. Inaweza pia kuonekana kama volkeno bwete inayokaa kama milima mingine bila kuonyesha dalili za moto. Lakini kutokana na umbo na tabia za miamba yake inaonekana mlima huu ulijengwa kwa njia ya kivolkeno.
 
Volkeno bwete inaweza kuamka tena. Mara nyingi kuwepo kwa chemchemi za maji ya moto au kutokea kwa gesi kwenye sehemu fulani ni dalili ya kwamba bado kuna njia kati ya mlima na magma ya chini. Kipindi kati ya milipuko kinaweza kuwa miaka mingi.
 
==Mlipuko wa volkeno==
[[Mlipuko wa volkeno]] ni hatari sana kwa ajili ya wanadamu na mazingira. Hii hatari ni kubwa zaidi pale ambako volkeno ililala kama olkeno bwete kwa miaka mingi labda maelfu. Hapa mara nyingi watu wamevutwa na udongo mwenye rutba kutokana na majivu ya volkeno wajenge makazi na kulima. Kama hapa volkeni inageuka kuwa hai tena hatri ni kubwa. Kuna mifano ya vifo vingi vilivyosababishwa na volkeno. Hasara inategema kama miji iko karibu na volkeno au la, na kama serikali zina huduma za kutazama volkeno na kuonya watu watoke mapema wakati dalili za kwanza zinatokea.
 
Kati ya mifano ya milipuko makali inayojulikana zaidi ni: