Volkeno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
asili ya jina
Mstari 2:
 
'''Volkeno''' (pia: '''volkano''', '''zaha''') ni mahali ambako [[lava]] inatoka nje kwa uso wa ardhi. Mara nyingi -lakini si kila mahali- volkeno ni [[mlima]]. Volkeno huwa na [[Kasoko ya volkeno|kasoko]] yaani shimo ambako [[lava]] na gesi inatoka nje.
 
==Asili ya jina==
Asili ya jina ni mungu wa imani ya [[Roma ya Kale]] aliyeitwa "Vulcanus". Kati ya miungu ya Kiroma alihusika na [[moto]], [[radi]] na [[uhunzi]]; kwa hiyo aliheshimiwa hasa na wote waliotumia moto kwa kuyeyusha [[metali]] kama [[chuma]] au [[shaba]].
 
==Volkeno na ganda la dunia==