Historia ya Wapare : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 22:
 
==Shughuli za uchumi==
Jamii za Wapare zimegawanyika katika makundi ya Wafugaji na Wakulima. Wakati Wafugaji wengi walihamia katika tambarare za Upareni, Wakulima wao waliishi milimani na wafuaji wa vyuma walikaa maeneo yote yaliyokuwa na uwezekano wa kupata chuma. Kwa asili Wapare hupeleka vijana wakiume jando (mshitu) ambako walipata mafunzo jinsi ya kuishi na familia,japo siku hizi tamaduni za kupeleka vijana mshitu hufanywa na watu wachache. Hata hivyo wapare wa Mwanga wamegawanyika katika jamii mbili: Wasangi na Wagweno. Wakati wasangi anaongeawanaongea kipare kinachoongelewa pia na Wapare wa maeneo mengine, Wagweno wao wana lugha yao iitwayo Kigweno. Kigweno ni mchanganyika wa Kipare na Kichagga. Hii inaonesha kuwa asili ya Wagweno ni uchagani. Hata hivyo mila na desturi za Wagweno zinafanana zaidi na zile za wapare wengine.
Wapare ni wachapakazi sana wakichanganya kilimo, ufugaji na biashara, ndio maana hata leo wana uchumi mzuri katika viwango vya Tanzania. Zamani Wapare walikuwa na sala tofauti,kwa kila koo na eneo lao la tambiko, katika karne ya 19 hadi 20 wamisherani wa Kikiristo waliingia maeneo mengi ya Upare.
 
Mstari 88:
 
==Mapacha kati ya Wapare==
Kulikuwa na imani potovu kuwa mwanamke akizaa watoto mapacha analeta mkosi na laana kwenye ukoo pia mtoto akianza kuota meno na yakaanza kutolakuotaa ya juu,kwa hiyo watoto hao waliuawa kwa kutupwa au huegeshwa juu kilele pembezoni wakiwa wamelala baada ya kunyonyeshwa ama kulishwa uji na wazazi wao kwenye jiwe kubwa ambalo kule Mbaga - Pare ya kusini linaitwa Malameni, Usangi - Mwero linaitwa Ikamba pia na Mfinga ya Kikweni makutano ya kwenda Ugweno na Usangi linaitwa Lubegho ambapo ni aghalabu mtoto kupona kwani akiamka toka usingizini akijigeuza tu hudondoka toka kule ju hadi chini nakufa. Maajabu ni kwa mtoto mmoja aliye okotwa na Mzee Mgaya kule Ikamba na kumlea hadi akakuwa na kuwa Mtumishi wa Mungu jasiri na maarufu Marehemu Mchungaji Nathanaeli Mgaya. Hadi leo hii mawe hayo yapo.
 
=Mito ya Upare=
Mstari 97:
 
==Watu mashuhuri wa Upare==
Chedieli Yohane Mgonja aliwahi kuwa Mbunge na waziri wa fedhaelimu katikaserikalikatika serikali ya awamu ya kwanza,Cleopa David Msuya Bado yupo hihai na aliwahi kuwa waziri wa Fedha,waziri mkuu,Mfumwa Singo,Askofu Eliewaha Eliya Mshana,Anne Kilango ni mbnge wa sme mashariki,Rose Mtengeti Migiro aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu wa UN, Mathayo David mbunge wa Same Magharibi na Waziri,Peter Kisumo,Daktari Mbazi Fikeni Senkoro,Mchungaji Abrahamu Itunda,Prof.Jumanne Maghembe Waziri wa Maji, Mfumwa Sabuni wa Usangi,Mfumwa Manento Sekimanga wa Mamba, Joseph Mamphombe wa Mbaga, Kigono Chuma wa Gonja, Folong'o Makange wa Chome, Minja Kukome wa Ugweno, Yoeli Mtindi wa Hedaru.Mfumwa Njaule wa VUDEE,IGP wa kwanza baada ya uhuru Elangwa Shaidi wa Vudee.