Kitabu cha Yobu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
foto
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Job Scroll.jpg|thumb|right|Kitabu cha Yobu kwa [[Kiebrania]].]]
'''Kitabu cha Yobu''' (kinaitwa pia '''Ayubu''') ni kitabu kimojawapo cha [[hekima]] katika [[Biblia ya Kiebrania]] ([[Tanakh]]), hivyo pia cha [[Agano la Kale]] ya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Miongoni mwa aina nyingi za vitabu vya [[Biblia]] vipo vile vinavyojulikana kuwa [[vitabu vya hekima]]. Kati ya vitabu hivyo, pamoja na Yobu, kuna [[Kitabu cha Methali|Methali]] na [[Kitabu cha Mhubiri|Mhubiri]], ingawa hata baadhi ya [[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] na sehemu za vitabu vingine pia vinaweza kuhesabiwa kuwa ni maandiko ya hekima. Tena, kati ya [[Deuterokanoni]], vingi ni vitabu vya hekima.
[[File:Job Scroll.jpg|thumb|right]]
 
==Mtindo na mpangilio wa uandishi==
Mstari 51:
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Jo/ Kitabu cha Yobu katika tafsiri ya Kiswahili (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}