Sintaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 81 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q37437 (translate me)
+kuongezea nyama kiufafanuzi zaidi
 
Mstari 1:
'''Sintaksi''' (au '''sarufi miundo/muundo''') ni tawi la [[isimu]] au taaluma ya sarufi inayoshughulikia namna ambavyo vikundi vya maneno na sentensi mbalimbali zinajengwa katika [[lugha]]. TaalumaHasa nyinginehushughulikia zakanuni sarufizinazotawala mfumo wa vipashio vya lugha. Sarufi muundo hushughulikia kanuni zinazotawala mpangilio wa maneno katika lugha husika ili kujenga (kuunda tungo yenye maana). Kipashio ni pamojakipande nacha [[fonolojia]],neno [[mofolojia]]au kikundi cha maneno yanayotoa taarifa fulani katika lugha ya Kiswahili. Kuna vipashio vitano - navyo ni: Mofimu --> Neno --> --> Kirai --> Kishazi --> Sentensi. Katika namna ya kutaja au [[semantiki]]kutumia vipashio, ngazi ya mofimu ni ndogo kuliko neno. Neno ni ndogo kuliko Kirai. Kirai ni kidogo kuliko Kishazi. Kishazi ni kidogo kuliko Sentensi. Hivyo basi mpangilio wake halisi huanza kwa ukubwa na kuja udogo.
 
'''Mfano, ukubwa kwenda udogo:'''
 
5. Sentensi
 
4. Kishazi
 
3. Kirai
 
2. Neno
 
1. Mofimu
 
Taaluma nyingine za sarufi ni pamoja na [[fonolojia]], [[mofolojia]] au [[semantiki]].
 
== Marejeo ==