Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kuongezea maana ya kitaalumu zaidi.
+kuongezea maana ya kitaalumu zaidi.
Mstari 32:
#Lugha ya maandishi
===Lugha ya mazungumzo===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya mazungumzo ya mdomo - na hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mazungumzo. Lugha ya mazungumzo ni kongwe, hai na halisi zaidi ya mzungumzaji na ina maana nyingi kwani mzungumzaji na msikilizaji ua ana kwa ana katika mazingira mamoja.
;Stadi za lugha ya mazungumzo ni kuzungumza na kusikiliza.
 
{| class="wikitable sortable"
|-
! Na. !! Chanzo !! Kikomo
|-
| 1 || Kuzungumza || Kusikiliza
|-
| 2 || Mzungumzaji || Msikilizaji
|}
===Lugha ya maandishi===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilisha cha lugha ya mazungumzo katika mfumo wa maandishi. Lugha ya maandishi ni changa kwani imeanza karne za hivi karibuni baada ya kuvumbuliwa kwa maandishi.
;Stadi za lugha ya maandishi ni kuandika na kusoma.
 
{| class="wikitable sortable"
|-
! Na. !! Chanzo !! Kikomo
|-
| 1 || Kuandika/Maandishi || Kusoma
|-
| 2 || Mwandishi || Msomaji
|}
 
Kwa kawaida, lugha ni sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Lugha ya aina hii inaitwa [[lugha asilia]]. Lakini pia kuna [[lugha ya kuundwa|lugha za kuundwa]].
==Nyanja za lugha==
Lugha ina nyanja kuu mbili nazo ni:
*Sarufi - hushughulikia kanuni za lugha
*Fasihi - hushughulikia sanaa zitokanazo na lugha husika ili kuumba kazi mbalimbali za kifasihi.
==Sarufi==
 
== Kukua na kufa kwa lugha ==