Tofauti kati ya marekesbisho "Julius Caesar"

29 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
d (Bot: Migrating 127 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1048 (translate me))
Cheo chake muhimi cha kwanza kilikuwa mkuu wa koloni ya Kiroma ya [[Hispania]]. Alifaulu kushinda ghasia ya Wahispania wenyeji waliojaribu kuwafukuza Waroma kutoka nchi yao. Caesar aliporudi Roma alitajirika na kujipatia sifa kama kiongozi wa kijeshi pia mwanasiasa aliyeokoa koloni muhimi ya Hispania.
 
Baadaye Caesar alijiunga na wanasiasa wawili wengine Gnaeus [[Pompeius]] Magnus aliyekuwa mkuu wa wanajeshi na Marcus Licinius [[Crassus]] aliyekuwa mtajiri kushinda Waroma wote. Wote watatu waliunda umoja ulioitwa "triumviratus" yaani umoja wa wanaume watatu wakashika mamlaka katika dola. Caesar alichaguliwa kwa cheo kikuu yaani [[Konsul]] kwa mwaka 59 KK. Baada ya mwisho wa kipindi chake alijipatia cheo cha Prokonsul au gavana wa eneo la Gallia ya Kiroma (Italia ya Kaskazini na eneo ndogo ya Ufaransa ya Kusini).
 
Coucou Dylan dog wouaf wouaf
 
== Vita ya Gallia ==
Anonymous user