Tofauti kati ya marekesbisho "Viwakilishi"

9 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
+sawazisho dogo tu
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{ExamplesSidebar|35%| * '''Mimi''' na '''wewe''' ni kitu kimoja. * '''Hilo''' si '''langu''''. * '''Anawatazama''' '''wao'''. * '''Kiache''' '''hicho'''. * '''...')
 
(+sawazisho dogo tu)
'''Kiwakilishi''' (pia: '''viwakilishi''') ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika.
Mfano:
*'''Hili zimeiva''' zimeiva
*''Chake kimeliwa''' kimeliwa
*'''Mimi''' ni mwalimu''
*'''Wote wamepotea''' wamepotea
*'''Aliyegongwa amepona''' amepona
 
Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.