Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 84 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11631 (translate me)
mwanaanga kuwa mwanafalaki kwa ufasaha. Jina Anga kuwa Ombwa. Ombwa ndio jina halisi ya space kwa kiingereza.
Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px303x303px|MwanaangaMwanafalaki Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''MwanaangaMwanafalaki''' ni mtu anayerushwa katika [[anga la nje]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]] ama ombwa(space) kwa kusafiria [[rocket|fataki]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".
 
MwanaangaMwanafalaki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.
 
Alifuatwa [[5 Mei]] 1961 na [[Alan Shepard]] kutoka [[Marekani]] aliyetumia chombo cha angani cha [[Mercury (chombo cha angani)|Mercury]] .
 
Mwanamke wa kwanza anganiombwani alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka 1963.
 
WanaangaWanafalaki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
 
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwa(anga la nje) linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani|Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa ]]Ombwa (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
 
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye angaombwa.
 
MwanaangaMwanafalaki aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika anganiombwani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.
 
== Picha za wanaangawanafalaki ==
 
<gallery caption="" widths="100px" heights="100px" perrow="6">