Athens : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 165 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1524 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa mahekaluma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]]
 
Mji '''Athens''' (kwa [[kigir.Kigiriki]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani) na, mji mkubwa wa nchi hii., Athensna nimojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye [[historia]] ndefu tangu miaka mielfuelfuelfu.
 
Jina limetokana na mungu wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na vita zamani za [[Ugiriki wa Kale]]. Siku hizi mji una wakazi milioni 3.
 
==Jina==
Jina limetokana na [[mungu]] wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa [[elimu]] na wa [[vita]] zamani za [[Ugiriki wa Kale]].
 
== Historia ==
Katika [[karne]] [[kabla zaya Kristo]] Athens ilikuwaulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.
 
Athens ilikuwa maarufu kwa [[wataalamu]] wake hasa [[wanafalsafa]] kama [[PlatonSokrates]], [[Plato]] na [[Aristoteles]]. Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.
 
Kisiasa inaitwa asili ya [[demokrasia]].
 
Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa [[Dola la Roma]] na baada ya [[1453]] chini ya [[Dola la Uturuki]]. MjiHapo mji ukawa bila umuhimu wowote, tena ukakonda. Wakati wa uhuru wa Ugiriki 1834 Athen ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu. Tangu 1834 imekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
 
Wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.
Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake hasa wanafalsafa kama [[Platon]] na [[Aristoteles]]. Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.
 
Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na baada ya 1453 chini ya [[Dola la Uturuki]]. Mji ukawa bila umuhimu wowote tena ukakonda. Wakati wa uhuru wa Ugiriki 1834 Athen ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu. Tangu 1834 imekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
 
Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka [[2004]].
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
Line 24 ⟶ 33:
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Miji ya pwani la Mediteranea]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]
 
{{Link FA|mk}}