Kodata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
Kumaliza maelezo ya mchoro
Mstari 17:
** Nusufaila [[Vertebrata]]
}}
[[Picha:BranchiostomaLanceolatum PioM.svg|thumb|right|500px|Muundo wa kodata (samaki sahili): 1 = uvimbe wa ugwe wa neva ("[[ubongo]]"), 2 = [[notokodi]], 3 = ugwe wa neva, 4 = [[mkia]] nyuma ya mkungu, 5 = [[mkungu]], 6 = njia ya chakula, 7 = mfumo wa mzunguko, 8 = [[atriopori]], 9 = uwanda kuzunguka koromeo, 10 = ufa wa [[tamvua]], 11 = [[koromeo]], 12 = uwanda wa mdomo, 13 = minyiri, 14 = [[mdomo]], 15 = [[gonadi]] ([[ovari]]/[[kende]]), 16 = [[jicho]] sahili, 17 = [[neva]], 18 = mkunjo wa [[tumbo]], 19 = [[ini]] sahili]]
'''Kodata''' (kutoka lugha ya kisayansi: [[Chordata]]) ni kundi kubwa la [[mnyama|wanyama]] wenye [[ugwe wa neva]] [[mgongo]]ni.
 
Mstari 30:
File:Branchiostoma lanceolatum.jpg|''Branchiostoma lanceolatum'' (Cephalochordata)
File:Ascidians.jpg|''Rhopalaea'' sp. (Tunicata)
File:Sanc1691 - Flickr - NOAA Photo Library.jpg|Mikunga-ute (Hyperotreti)
File:Feuersalamander DE.jpg|Salamanda mabaka-njano (Vertebrata)
</gallery>