Cape Town : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 117 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5465 (translate me)
No edit summary
Mstari 35:
Kisiwa cha [[Robben Island]] ilikuwa mahali pa [[gereza]] alikofungwa [[Nelson Mandela]]; leo ni [[makumbusho]] yanayotembelewa na maelfu wa watalii kila mwaka.
 
Ishara ya mji ni [[Mlima wa Meza]] unaotazama hori ya Cape Town ukitenganisha kitovu cha mji na makazi ya [[Cape Flats]]. [[Cape town]] ni mji pekee Afrika ya kusini wenye muingiliano mkubwa wa watu kutoka sehemu mbalimbali Duniani hivyo kuufanya kuwa mji wenye mchanganyiko wa tamaduni nyingi kuliko yote Afrika kusini. Ukipita mitaa ya [[Wynberg]] utakutana na watu wengi wanaongea lugha ya [[Kiswahili]] kutoka [[Tanzania]],Kenya,Burundi na Kongo. Kiswahili ndio lugha kubwa ya kigeni ya kiafrika inayozungumzwa sana [[Cape town]].. Cape town ni mji ambao bahari ya Hindi hukutana na Bahari ya Atlantiki..imehaririwa na [[Selemani Mkonje]]
Ishara ya mji ni [[Mlima wa Meza]] unaotazama hori ya Cape Town ukitenganisha kitovu cha mji na makazi ya [[Cape Flats]].
 
== Viungo vya Nje ==