Ukanoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 922308 lililoandikwa na 91.98.113.164 (Majadiliano)
Mstari 1:
[[File:Chrodegang.jpg|thumb|[[Askofu]] [[O.S.B.|Mbenedikto]] [[Chrodegang]] wa [[Metz]] ni kati ya waliohamasisha Ukanoni katika [[karne ya 8]].]]
'''Ukanoni''' ni mtindo wa maisha ya kitawa katika [[kanisa katoliki]] uliokusudiwa hasa kwa ma[[padri]] wa [[parokia]] za mjini.
 
==Historia==
 
Ili kuboresha maisha ya ma[[mapadripadri]] [[wanajimbo]], toka zamani ulisisitizwa uundaji wa [[jumuia]] kati yao, ambamo [[sala|wasali]] na kufanya [[utume]] kwa pamoja.
 
Hasa kuanzia [[karne XI]] wengi walifanya hivyo kwenye ma[[kanisa]] makubwa kama mtindo mpya wa [[utawa|kitawa]] unaosisitiza [[liturujia]] ya fahari pamoja na [[uchungaji]].