Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
 
==Chama cha pekee==
Katika uchahguzi wa 1963. KANU ilishinda vyama vya [[KADU]] na APP na kupata ruhusa ya kuunda serikali huru ya kwanza nchini Kenya. Mwaka iliyofuata wabunge wa hivi vyama walivuka sakafu na kujiunga na KANU. Kenya ikawa nchi ya utawala wa chama kimoja, yaani defacto. Mambo yaliendelea hivo hivo, isipokuwa muda mfupi kutoka 1966-69, mpaka 1982 mwaka katiba ya Kenya iliharirishwa kulingana na [[mfumo wa chama kimoja]] na KANU kuwa chama cha kisiasa cha pekee yaani dejure. Vyama vingine vilipigwa marufuku. Hali hii ilidumu hadi 1991 wakati [[serikali]] ya Moi ililazimishwa kukubali vyama vingi na badiliko la katiba tena.
 
==Mfumo wa vyama vingi==