George Saitoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q733817 (translate me)
Mstari 7:
Alisomea Shule ya Upili ya Mang'u na alipata elimu yake ya shahada ya kwanza huko Marekani katika Chuo Kikuu cha Brandeis baada ya kulipiwa na Wien. Saitoti alipata PhD katika Hisabati kutoka Chuo Kikuu cha Warwick mwaka 1972 katika nyanja ya algebraic topology.
 
Tarehe 30 Agosti 2002, Saitoti aliuzuliwa kama Makamu wa Rais na Rais [[Daniel Arap Moi]] kwa utovu wa utiifu; Saitoti aliuzuliwa pia kazi yake kama Makamu Mwenyekiti wa [[Kenya African National Union]] (KANU) <ref name="Race" />. Katika Uchaguzi Mkuu wa 2002, alishinda kiti cha Kajiado North kwa chama [[NARC]].
 
== Kashfa ya Goldenberg na baadaye ==
Siku ya 13 Februari 2006 kujiuzulu kwa Saitoti kama Waziri wa Elimu ulitangazwa na [[Rais]] [[Mwai Kibaki]] katika televisheni, baada ya madai kwamba alikuwa amehusika katika kashfa ya Goldenberg. <ref>{{cite news|title=Kenyan 'graft' ministers resign|date=[[13 Februari]] 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4710138.stm|accessdate=2006-02-13}}</ref> Mahakama ya juu ya Kenya iliamuru tarehe 31 Julai 2006 kuwa Saitoti haipaswi kushtakiwa juu ya kashfa ya Goldenberg.<ref>{{ cite news|title=Kenya's Saitoti escapes charges|date=31 Julai 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/2/low/africa/5232852.stm|accessdate=2006-07-31}}</ref> Tarehe 15 Novemba 2006 alirudishwa kazini kama Waziri wa Elimu na Kibaki.<ref>[7] ^ [http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&amp;click_id=68&amp;art_id=qw1163590381401B255 "Kibaki awarudisha mawaziri baada ya kashfa",] ''IOL,'' 15 Mei 2006.</ref>
 
Katika Bunge iliyotangazwa na Kibaki 8 Januari 2008, kufuatia utata wa Uchaguzi wa 2007, Saitoti alikuwa Waziri wa Usimamizi wa Majimbo na Usalama wa Ndani katika Ofisi ya Rais.<ref>[4] ^ "Kenya: Rais Kibaki achagua baraza la Mawaziri", The East African Standard (allAfrica.com), 8 Januari 2008.</ref> Baada ya ugawaji madaraka kufikiwa kati ya Kibaki na [[Raila Odinga]], wote ambao alidai ushindi katika uchaguzi wa 2007, Saitoti alihifadhi kazi yake katika Bunge ya muungano iliyotajwa tarehe 13 Aprili 2008.<ref>[6] ^ Anthony Kariuki, " Kibaki amtaja Raila kama Waziri Mkuu katika baraza jipya", nationmedia.com, 13 Aprili 2008.</ref>
Mstari 32:
* http://www.parliament.go.ke/MPs/members_saitoti_prof_g.php
* [http://www.math.buffalo.edu/mad/PEEPS/saitoti_george.html Utafiti]
* [http://mykenya.weebly.com/ About Kenya]
* [http://www.nationmedia.com/dailynation/nmgcontententry.asp?category_id=1&amp;newsid=67199 Goldenberg mtihani mzito kwa mjuzi wa hesabu]