Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
sawazisho |
||
Mstari 1:
'''Wimbo''' au '''nyimbo''' ni aina ya [[sanaa]] katika [[fasihi]] ambayo hutumia lugha teule, sauti na kiimbo maalumu. Aghalabu wimbo/nyimbo hutumia ala za mziki kama vile ngoma. Nyimbo zinaweza kuimbwa na mtu mmoja au zaidi.
Wimbo hugawanywa katika beti na mishororo. Nyimbo nyingi huwa na kiitikio au mstari ambao hurudiwa-rudiwa.
==Aina za nyimbo==
{{mbegu-muziki}}
|