Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
{{user es-1}}
{{boxboxbottom}}
Jina langu ni Christiaan Kooyman. Nimezaliwa katika Uholanzi ambapo nilisomea ekolojia kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Wageningen (sikuhizi [[w:Wageningen University and Research Centre|Wageningen University and Research Centre]]). Baada ya mahafali yangu ya Master nilihamia [[Afrika]] ambapo nimefanya kazi tokea hapo katika nchi nyingi (nchi za makazi: [[Nijeria]], [[Kenya]], [[Sudani]], [[Nijeri]], [[Benin]], [[Senegali]] na [[Maroko]]). Takriban kazi zangu zote zilihusisha vipengele vya entomolojia. Tangu 1996 ninajiona kama mwanaentomopatholojia ([[patholojia|mwanapatholojia]] wa [[mdudu|wadudu]]). Kazi yangu ya kisasa ni mshauri wa kifundi katika idara ya Uchunguzi na Usitawishaji ya Eléphant Vert, kampuni ya kutengeneza [[dawa ya kibiolojia|dawa za kibiolojia]] na [[mbolea wa kibiolojia]] huko [[Meknès]], Maroko. Ni mkuu wa idara ndogo ya dawa za kibiolojia ambamo tunasitawisha dawa zilizo na [[spora]] za [[kuvu entomopathojeni]] ndani yao.
 
 
Habari zako? Ukiwa mtaalamu wetu wa viumbe hai - labda jaribu hii: http://news.bbc.co.uk/2/hi/science/nature/4759535.stm --[[User:Kipala|Kipala]] 19:07, 12 May 2006 (UTC)