Paka-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 186 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q146 (translate me)
Masahihisho
Mstari 17:
| bingwa_wa_nususpishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
'''Paka-kaya''' ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni sehemumwana yawa [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[Felidae]] wanaojumlisha paka pamoja na [[gwagu]] ([[paka wa porini-pori]]) na felidae[[spishi]] wakubwakubwa kama [[simba]], [[chui]] na [[duma]].
 
Asili ya paka ni paka za porini (kwa hakika [[paka-jangwa]], ''F. s. lybica'') walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika [[panya]] na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.
[[Picha:Il Gatto e il Topo 2.jpg|thumb|250px|left|Paka na panya]]
== Viungo vya nje ==