Unju bin Unuq : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{umbo}}; +mbegu; +jamii
No edit summary
Mstari 5:
pia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake.moja kati ya nyayo zake zinapatikana kwenye jiwe alilokanyaga huko tabora ,tanzania ,nyayo ya mguu wa kushoto wakati unyayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko congo.
wanahistoria wanadai alipokufa unju bin unuq,aligawanyika vipande vipande kutokana na urefu wake na inasemekana kidole chake chenye urefu wa kilometa moja kasoro ndicho kilichopatikana na kuzikwa pale bagamoyo,haijaeleweka wakati anakufa mwili wake uliobaki uliangukia wapi.
Aliishi Afrika kipindi akitaka kula alikua akichukua Samaki baharini kwa mkono na kuchoma katika jua kisha anakula
 
{{mbegu-mtu}}