Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Ukrainian SSR.svg|thumbnail|Bendera ya Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Ukraine]]
[[Picha:Emblem of the Ukrainian SSR.svg|thumbnail|Nembo]]
'''Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiukraine''' ilikuwa kati ya jamhuri wanachama 15 za [[Umoja wa Kisovyeti]] hadi 1991. Jina lake liliandikwa kwa [[Kikirili]] katika lugha ya [[Kiukraine]]: "Українська Радянська Соціалістична Республіка, УРСР" (''Ukrainska Radyanska Sotsialistichna Respublika, URSR'') na pia kwa [[Kirusi]] "Украинская Советская Социалистическая Республика" (''Ukrainskaya Sovyetskaya Sotsialisticheskaya Respublika, USSR''). Leo hii imekuwa nchi huru ya [[Ukraine]].
|