Kitenzi kikuu kisaidizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
}}
'''Kitenzi kikuu kisaidizi''' (alama yake ya [[isimu|kiisimu]] ni: '''TS''') ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kitenzi kikuu kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi kinahitaji msaada/lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa yake ikamilike.
==Uchambuzi==
*Babu yangu '''alikuwa''' ''anaumwa'' sana (''alikuwa'' ni kitenzi kisaidizi '''TS''' - na ''anaumwa'' ni kitenzi kikuu '''T''').
*Wezi '''walikuwa''' ''wanataka'' '''kuiba''' fedha zake (''walikuwa'' na ''wanataka'' vyote ni vitenzi visaidizi - isipokuwa '''kuiba''' ambapo hapa kimeainishika kama kitenzi kikuu). Kikawaida kitenzi kikuu hukaa mwisho hata kama nyuma yake kutakuwa na wasaidizi kumi.