Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q10787568
No edit summary
Mstari 23:
*kuonyesha matokeo ya '''utafiti asilia''' maana ya habari ambazo wewe kama mwandishi umebuni mara ya kwanza au '''nadharia mpya''' zisizoangaliwa bado na wataalamu wengine. Maana yake kama wewe umegundua ukweli fulani wikipedia si mahali pa kuitangaza mbele ya dunia. Tunapendelea kusubiri hadi wataalamu wengine wameiangalia na kuchangia mawazo yao.
 
*Si mahali pa '''kujitangaza mwenyewe'''. Kama wewe ni mwandishi, mwimbaji au msanii bora haifai ukieleza ubora wako mwenyewe. Subiri tu kidogo hadi wengine wanakujua na kuimba sifa zako!
 
* Usianzishe makala juu yako mwenyewe katika sehemu ya kamusi! Unaweza kutumia nafasi ya ukurasa wako wa mtumiaji. Hapa uko huru kuleta habari juu yako. Nje ya hapo ni marufuku!
 
* Usitaje jina lako katika makala kama mwandishi.
 
==Msimamo wa kutopendelea upande==
Line 53 ⟶ 57:
 
==Kubadilisha jina la makala ?==
Wakati mwingine utakuta makala unapofikiri ya kwamba jianjina lake si sahihi. Ama mwandishi alikosa tahajia au jina lenyewe au kwako mada hii inajulikana zaidi kwa jina tofauti.
 
# Usinakili yaliyomo ya makala na kuiweka kwa makala mpya yenye jina nyingine!! Hii ni kosa kubwa. Hasa kwa sababu inafuta historia ya makala na viungo vilivyopo tayari.