Kitenzi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+marejeo |
No edit summary |

Mstari 23:
Viambishi tamani vinaweza kupanusha au kubadilisha maana ya kimsingi ya mzizi wa neno. Mifano ni kimbi-a, kimbi-lia, kimbili-ana, kimbi-za, kimbi-zana, kimbi-liwa.
Kwa jumla kitenzi cha Kiswahili kinaweza kuwa na sehemu saba yaani shina na hadi sita viambishi mbele au nyuma ya shina la neno. Jedwali inayofuata inaonyesha mifano kadhaa. Umbo fupi zaidi ya kitenzi ni amri kama "piga".
{| class="wikitable float-right"
|+Kitenzi cha Kiswahili
pamoja na viambishi vyake
|- align="center"
! 1 || 2 || 3 || 4 || 5 || 6 || 7

! colspan="4" | Viambishi awali
! Shina
! colspan="2" | Viambishi tamati
|- align="left"
! Viambishi vya
Nafsi Mtenda|| Viambishi vya
Wakati / Hali || Viambishi
Virejeshi || Viambishi vya
Nafsi Mtendewa|| || Viambishi vya
Kauli || Kiishio
|- align="center" style="background-color:#D0D0D0;"
| align="center" |ni
| na || - || - || '''sem''' || - || a
|- align="center"
| align="center" |u
| me || || ni || '''on''' || ''y''esh || a
|- align="center" style="background-color:#D0D0D0;"
| align="center" |a
| na || cho || ni || '''ambi''' || - || a
|- align="center"
| align="center" |tu
| li || po || wa || '''ingi''' || z || a
|- align="center" style="background-color:#D0D0D0;"
| align="center" |
| || || || '''pig''' || - || a

==Aina za vitenzi==