Azimio la Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Azimio la Arusha''' ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza [[Tanzania]] katika njia ya [[ujamaa]] kadiri ya maelekezo hasa ya [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
Jina la azimio linatokana na [[mji]] wa [[Arusha]] lilipotolewalilipitishwa mwakatarehe 26-29 Januari [[1967]].
 
Tarehe [[5 Februari]] 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko [[Dar es Salaam]] kama uamuzi wa WAtanzania wa kuondoa [[unyonge]] wao.
Tamko la Arusha lina sehemu tano: [[Itikadi]] ya [[chama]] cha TANU; [[Siasa]] ya ujamaa; Siasa ya [[kujitegemea]]; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.
 
Tamko la Arusha lina sehemu tano: [[Itikadi]] ya [[chama]] cha [[TANU]]; [[Siasa]] ya ujamaa; Siasa ya [[kujitegemea]]; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.
 
Kiini chake ni hiki: "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa. Sasa tunataka [[mapinduzi]], maspinduzi ya kuondoa unyonge ili tusionewe tena, tusinyonywe tena na tusipuuzwe tena".
 
==Hati yenyewe==