Azimio la Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Jina la azimio linatokana na [[mji]] wa [[Arusha]] lilipitishwa tarehe 26-29 Januari [[1967]].
 
Tarehe [[5 Februari]] 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko [[Dar es Salaam]] kama uamuzi wa WAtanzaniaWatanzania wa kuondoa [[unyonge]] wao.
 
Tamko la Arusha lina sehemu tano: [[Itikadi]] ya [[chama]] cha [[TANU]]; [[Siasa]] ya ujamaa; Siasa ya [[kujitegemea]]; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.
 
Kiini chake ni hiki: "Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa. Sasa tunataka [[mapinduzi]], maspinduzimapinduzi ya kuondoa unyonge ili tusionewe tena, tusinyonywe tena na tusipuuzwe tena".
 
==Hati yenyewe kwa [[Kiingereza]]==
* TANU, Dar es Salaam. (1967). The Arusha Declaration and TANU’s Policy on Socialism and Self Reliance. Dar es Salaam:Tanzania. Published by the Publicity Section, TANU, Dar es Salaam.
* [http://www.marxists.org/subject/africa/nyerere/1967/arusha-declaration.htm Text of Arusha Declaration (engl.)]