Kipanya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 75 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q39275 (translate me)
Masahihisho
Mstari 21:
[[Picha:Mouse_vermin02.jpg|thumb|Vipanya wa mwituni (field mouse)]]
 
'''Kipanya''' hupatikana katika [[oda]] ya wagugunaji ([[Rodentia]]). [[Spishi]] inayofahamika sana ni [[kipanya-nyumbani]] (''Mus musculus''). Pia ni mfugo maalum. Kwenye maeneo mengine, vipanya huwa maarufu. Wagugunaji hawa huliwa na [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kama vile [[kipanga|vipanga]] na [[taikozi]]. Wanafahamika kwa kuhamia makazi ya watu kutafuta chakula na makazi yao.
Japo wakifugwa vipanya hawa huweza kuishi kwa miaka miwili na nusu, kwa kawaida vipanya huishi kwa wastani wa miezi minne huko porini, kumpakakana na kuwinda mara kwa mara. Jamii za [[paka]], [[mbwa-mwitu]], [[bweha]], ndege mbua, [[nyoka]] na hata jamii fulani za [[artropoda]] huwawinda sana vipanya. Hata hivyo humpakakana uwezo wao mkubwa wa kuishi mazingira mbalimbali, vipanya huonwa kuwa ndio jamii ya pili kuishi duniani yenye uwezo mkubwa wa kudumu mazingira baada ya binadamu.