Vikram Samvat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Vikram Samvat''' (pia: Bikram Samvat, Devanagari:विक्रम सम्वत्) ni kalenda rasmi nchini Nepal. Huhesabiwakati ya kalen...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Vikram Samvat''' (pia: Bikram Samvat, [[Devanagari]]:विक्रम सम्वत्) ni [[kalenda]] rasmi nchini [[Nepal]]. HuhesabiwakatiHuhesabiwa kati ya [[kalenda za Kihindu]] na kufuata muundo wa [[mwaka jua-mwezi]] (lunisolar).
 
Jina latokana na mfalme wa Kihindi Vikramaditya Samvat aliyetawala katika Uhindi kaskazini mnamo karne ya kwanza [[KK]]. Mwaakmpya unaanza kwenye siku ya mwezi mwanadamu wa mwezi wa Chaitra inayotokea wakati wa ama Machi au Aprili. Mwezi hufuata awamu halisi za mwezi.