Tofauti kati ya marekesbisho "Lahaja"

38 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
kurahsisha kiogo
d (Bot: Migrating 93 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q33384 (translate me))
(kurahsisha kiogo)
Lahaja hutofautishwa kulingana na vipengele vifuatavyo:
# vipengele vya sera ([[lahaja rasmi]] na [[lahaja sanifu]])
# vipengele vya maoni ya wasemaji wa lugha husika (k.m. [[lahaja maarufu]])
# vipengele vya kijamii ([[lahaja jamii]] na [[lahaja tabaka]])
# vipengele vya eneo ([[kitarafa]])
 
Mfano wa lugha yenye lahaja mbalimbali ni [[Kiingereza]] na lahaja zake zinavyozungumzwa tofauti [[Uingereza]], [[Marekani]], [[Uhindi]], [[Australia]] na maeneo mengine. Tena, lahaja za [[Kiswahili]] hutofautishwa kulingana na maeneo yake kama [[Kiamu]] (kisiwani kwa [[Lamu]]), [[Kimvita]] (mjini kwa [[Mombasa]]), [[Kiunguja]] (kisiwani kwa [[Zanzibar]], [[Kingazija]] (visiwani kwa [[Komoro]]) na kadhalika.