Vikram Samvat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Vikram Samvat''' (pia: Bikram Samvat, [[Devanagari]]:विक्रम सम्वत्) ni [[kalenda]] rasmi nchini [[Nepal]]. Huhesabiwa kati ya [[kalenda za Kihindu]] na kufuata muundo wa [[kalenda jua-mwezi]] (lunisolar).
 
Jina latokana na mfalme wa Kihindi Vikramaditya Samvat aliyetawala katika Uhindi kaskazini mnamo karne ya kwanza [[KK]]. MwaakmpyaMwaka mpya unaanza kwenye siku ya mwezi mwanadamu wa mwezi wa Chaitra inayotokea wakati wa ama Machi au Aprili. Mwezi hufuata awamu halisi za mwezi.
 
[[jamii:Kalenda]]