Dini za jadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Igbo medicine man.jpg|thumb|right|[[Mganga wa kienyeji]] wa mwanzo wa [[karne ya 20]] wa [[kabila]] la [[Waigbo]] huko [[Nigeria]], [[AfricaAfrika Magharibi]].]]
'''Dini za jadi''' ni [[dini]] za mababuma[[babu]] ambazo zinafuata [[mwiko|miiko]] na [[maadili]] halisi ya [[taifa]] au [[kabila]] fulani.
 
Katika [[bara]] la [[Afrika]] dini hizo zinaegemea zaidi kwenye ma[[tambiko]] kwa [[mzimu|mizimu]] ya [[ukoo]] ili isaidie [[jamaa]] zao.
 
Siku hizi idadi ya wafuasi wa dini hizo inazidi kupungua na kuziachia nafasi dini za kimataifa, hasa [[Ukristo]] na [[Uislamu]].
 
Hata hivyo mabaki ya [[imani]] ya asili yanawaandama waliojiunga na dini hizo, hasa kwa namna inayotazamwa nazo kuwa [[ushirikina]].
 
== Marejeo ==