Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Redentor.jpg|thumb|right|350px| ''[[Sanamu ya Kristo mkombozi]]'' huko [[Rio de Janeiro]] ([[Brazil]]) ni [[sanamu]] ya [[Yesu]] kubwa kuliko zote zilizopata kutengenezwa.]]
{{Yesu KristoUkristo}}
'''Ukristo''' ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee kama alivyofunuliwa na [[Yesu Kristo]], mwanzilishi wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni mbili.
 
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].