Johannesburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 923142 lililoandikwa na 197.79.10.66 (Majadiliano)
Mstari 33:
Karibu theluthi moja ya wakazi wa jiji hukaa katika eneo la [[Soweto]] ambalo ni mtaa ulioengwa nje ya jiji asilia kwa ajili ya wafanyakazi Waafrika wakati wa [[Apartheid]] (siasa ya ubaguzi wa rangi).
 
{{commonscat}}
Johannesburg inahudumiwa na viwanja vikubwa viwili vya ndege ambavyo ni O.R Tambo International Airport ambacho ndo kiwanja chenye Mzunguko mkubwa wa Abiria Afrika pamoja na Kiwanja cha Lanseria international Airport.. Kutokana na Utafiti uliofanyika Mwaka2007 idadi ya watu katika jiji la Joburg ilikuwa 4,434,827 wakati idadi ya watu wote wanaoishi joburg pamoja na viunga vyake ni 10,267,700..Mwezi Mei tarehe 12 mwaka 2008 katika mtaa wa Alexandria ndo palikuwa chimbuko la ghasia zilizolenga kufukuza wageni nchini Afrika Kusini.. Imehaririwa na Selemani Mkonje
{{mbegu-jio-AfrikaKusini}}
 
[[Jamii:Miji ya Afrika Kusini]]
[[Jamii:Gauteng]]