Quebec : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q176 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox settlement
|jina_rasmi = QuébecQuebec
|picha_ya_satelite = Carte du Québec au sein du Canada.svg
|maelezo_ya_picha = Mahali pa QuébecQuebec katika [[Kanada]]
|picha_ya_bendera = Flag of Quebec.svg
|ukubwa_ya_bendera = 100px
Mstari 15:
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mji mkuu]]
|subdivision_name2 = [[QuébecJiji Cityla Quebec]]
|area_total_km2 = 13651281.365.128
|area_land_km2 =
|area_water_km2 =
Mstari 25:
}}
[[Picha:Map of Quebec-fr.png|thumb|right|270px|Ramani ya Quebec]]
'''Quebec''' ([[Kiingereza]]: Quebec, [[Kifaransa]]: Québec) ni jimbo la [[Kanada]] upande wa [[Bahari Atlantiki]] kati ya mdomo wa [[mto Saint Lawrence]] hadi [[ghuba ya Hudson]]. Ina eneo la 1,542,056 [[km²]] ikiwa ni kubwa kati ya majimbo ya Kanada. Kuna wakazi milioni saba na nusu (7,546,131). Imepakana na [[Ontario]], [[New Brunswick]] na [[Newfoundland and Labrador]].
 
Quebec ni eneo ambako wakazi wengi hutumia lugha ya [[Kifaransa]] tofauti na majimbo mengine ya Kanada ambako watu huongea [[Kiingereza]]. Sababu yake ni ya kwamba sehemu hii ilikuwa koloni ya Ufaransa tangi karne ya 17 na walowezi Wafaransa walijenga makazi yao hapa. Walitunza utamaduni wao hata baada ya [[vita ya miaka saba]] (1756-1762) ambako koloni ilivamiwa na [[Uingereza]] na kuwa eneo la Kiingereza. Mfaransa wa kwanza aliyefika Quebec alikuwa mpelelezi [[Jacques Cartier]].