Mkoa wa Katavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 55:
Ni kweli hilo ndilo kabila kubwa lakini kuna jamii ya kabila la Wapimbwe ambalo linapatikana katika maeneo ya Tarafa ya Mpimbwe ambalo kwa kiasi kikubwa ndio hasa wenyeji wa mkoa huu mpya wa Katavi ambalo kwa asili linapatikana katika vijiji vya Mamba, Mpimbwe na Majimoto. Kama utafuatilia vizuri katika kijiji cha Mamba kuna kivutio kizuri ambapo kubwa bwawa la asili la maji ya moto na hayapoi muda wote ni ya moto iwe mchana au usiku. Kiukweli mimi mwenyewe nina asli ya mpimbwe lakini sema mizunguko ya maisha. Kabila lingine ni wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.
 
naitaji kuona mweria marem samweri katwa katwa namapanga
== Viungo vya nje ==
* [http://www.tanzania.go.tz Serikali ya Tanzania]
 
{{mbegu-jio-katavi}}
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|M]]
[[Jamii:Mkoa wa Katavi| ]]
 
 
Pia aidhan mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. mfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi Wahindi na Waarabu Wa Oman kama Mzee Yusuf Al Salmi.