Ambrosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AmbroseOfMilan.jpg|thumb|Mt. Ambrosi alivyochorwa kwa nakshi za mawe katika [[kanisa]] lake huko Milano]]
'''Aureli Ambrosi''' ([[Trier]], leo nchini [[Ujerumani]], [[335340]] hivi - [[Milano]], [[Italia]], [[4 Aprili]] [[397]]), alikuwa [[askofu]] wa [[Milano]] kuanzia mwaka [[374]] hadi kifo chake.
 
Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza [[Agostino wa Hippo]]
Mstari 12:
== Maisha ==
=== Mwanasiasa ===
Ambrosi alizaliwa katika [[familia]] ya [[Ukristo|Kikristo]] ya [[Dola la Roma]] kati ya miaka 334 na 339 akakulia [[Trier]] .
 
Baba yake, aliyeitwa Ambrosius Aurelianus, alikuwa [[liwali]] wa [[Gallia]] (leo [[Ufaransa]]); mama yake alijulikana kwa akili na imani yake. Ndugu zake, [[SatyrusSatiro]] na [[Marselina]] wanaheshimiwa pia kama watakatifu.
 
Alipofiwa baba, Ambrosi alihamia [[Roma]] ilipamoja na mama aliyemuandaa kufuata nyayo zakeza baba yake katika siasa. Alisomea huko, hasa [[fasihi]], [[sheria]] na [[hotuba]].
 
[[Liwali]] [[Anicius Probus]] kwanza alimpa nafasi katika halmashauri halafu ([[370]]) akamfanya [[gavana]] wa [[Liguria]] na [[Emilia]], akiwa na makao makuu huko [[Milano]], mji wa pili wa [[Italia]].
Mstari 29:
[[Picha:Francisco de Zurbarán 032.jpg|thumb|left|120px|''Mt. Ambrose'', alivyochorwa na [[Francisco de Zurbarán]]]]
 
Kama askofu, zaidi ya [[useja]] wake, alishika juhudi za kitawa, alisaidia mafukara kwa mali zake karibu zote, akajitahidi kupata elimu ya [[Biblia]] na [[teolojia]] hasa kutoka vitabu vya [[Origene]] akaitumia vema katika kuhubiri, akifafanua kwa upana na udhati [[Biblia ya Kikristo|maandiko matakatifu]] [[tafakuri|aliyoyatafakari]] kwanza. Hivyo alieneza magharibi mtindo wa [[Lectio Divina]] ulioanzishwa na [[mtaalamu]] huyo wa [[Misri]].
 
Augustino aliandika kwamba kila alipokwenda kumuona Ambrosi alimkuta amefikiwa na [[umati]] wa watu wenye [[shida]] mbalimbali, ambao alijitahidi kwa kila namna kuwasaidia. Kila mara kulikuwa na [[foleni]] ndefu ikisubiri kuongea naye ili kupata [[faraja]] na [[tumaini]]. Akibaki kidogo peke yake, alilisha au [[mwili]] kwa kula au [[roho]] kwa kusoma.
Mwenye [[nguvu]] na [[udumifu]], pamoja na [[kipawa]] cha kuhisi nini inawezekanika, aliweza kuongoza vizuri ajabu kama [[mchungaji]] halisi, mwenye msimamo na [[busara]], na hasa [[wema]] na [[upendo]]. Hivyo hakufukuza [[wakleri]] waliofuata mafundisho ya [[Ario]].
Line 37 ⟶ 39:
Mwaka uliofuata wote wawili walishiriki [[Mtaguso wa Aquileia]] ili kuimarisha [[imani sahihi]] katika [[dola]].
 
Baada ya Grasyano kuuawa ([[383]]), ilimbidi azidi kupambana na wafuasi wa Ario, mmojawao [[kaisari Masimo]] aliyedai ([[386]]) awaachie makanisa mawili ya Milano, lakini Ambrosi alikataa katakata, akisema,
"Ukinitaka mwenyewe, niko tayari kutii: unipeleke gerezani au kifoni, sitapinga; lakini sitasaliti kamwe [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]]. Sitaita watu kunisaidia; nitakufa kwenye [[altare]] lakini si kuikimbia. Sitahimiza watu kupiga kelele: lakini [[Mungu]] tu anaweza kuwatuliza". Hivyo alihamia pamoja na wafuasi wake [[basilika]] lililogombaniwa wakaendelea kulitumia [[usiku]] na [[mchana]]. Kadiri ya Augustino, ndiyo mwanzo wa nyimbo za Ambrosi.
 
Kadiri ya Augustino, aliyeguswa sana na [[umoja]] huo, ndiyo mwanzo wa nyimbo za Ambrosi: “Umati wenye [[imani]] ulikesha, ukiwa tayari kufa pamoja na askofu wao… Sisi pia, ingawa [[vuguvugu]] kiroho, tulishiriki katika [[mhemko]] wa wote”..
 
[[Picha:Anthonis van Dyck 005.jpg|thumb|300px|''Mt. Ambrosi na kaisari Theodosius'' walivyochorwa na [[Anthony van Dyck]].]]
Line 56 ⟶ 60:
Kati ya mambo ya pekee aliyoacha ni urithi wa tenzi na [[liturujia]] ya pekee inayoendelea kutumika Milano na sehemu nyingine kadhaa za Italia kaskazini na [[Uswisi]] ("liturujia ya Kiambrosi").
 
Tarehe 4 Aprili, siku ya [[Ijumaa Kuu]], Ambrosi alifariki huku amenyosha mikono yake kama Yesu msalabani, akaheshimika mara kama mtakatifu.
 
Masalia yake, ambayo ni kati ya maiti za zamani zaidi zilizopo nje ya [[Misri]], yanatunzwa katika kanisa lake mjini Milano.
Line 65 ⟶ 69:
Kwa jumla maandishi yake ni ya kichungaji kuliko ya kinadharia, pia kutokana na jinsi alivyopata uaskofu ghafla. Alijaribu kuziba pengo la ujuzi wa ki[[teolojia]], lakini bila mafanikio makubwa. Ndiyo sababu anategemea sana [[babu wa Kanisa|mababu]] waliomtangulia.
 
Kuhusu [[Kristo]], anatofautisha ndani yake hali mbili na vilevile [[utashi]] wa Kimungu na ule wa kibinadamu. Alikuwa hachoki kusema, “Kwetu Kristo ni kila kitu!” akifafanua, “Ukiwa na [[donda]] linalohitaji kuponya, yeye ndiye [[mganga]]; ukiwa na [[joto]] la [[homa]], yeye ndiye [[burudisho]]; ukilemewa na [[dhuluma]], yeye ndiye [[haki]]; ukihitaji [[msaada]], yeye ndiye [[nguvu]]; ukiogopa [[kifo]], yeye ndiye [[uzima]]; ukitamani [[mbingu]], yeye ndiye [[njia]]; ukiwa [[giza]]ni, yeye ndiye [[mwanga]]… Onja na kuona jinsi Bwana alivyo mwema: [[heri]] mtu [[tumaini|anayemtumainia]]!”
Kuhusu [[Kristo]], anatofautisha ndani yake hali mbili na vilevile [[utashi]] wa Kimungu na ule wa kibinadamu.
 
Kuhusu [[ukombozi]], alidhani [[kifo]] cha [[Yesu]] kilikuwa gharama iliyolipwa kwa [[shetani]] ili kuokoa watu.
Line 82 ⟶ 86:
kwa ajili ya Kristo.
 
== MaandishiOrodha ya maandishi ==
=== Ufafanuzi wa [[Biblia]] ===
* Hexameron