Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
Alizaliwa mwaka [[347]] huko [[Strido]], sehemu za [[Dalmazia]] .
 
Alisomea hata [[Roma]] miaka ya [[360]] - [[367]], akijipatia [[elimu]] ya hali ya juu, aliyoiendeleza maisha yake yote, hata kwa [[safari]] nyingi [[magharibi]] na [[mashariki]] zilizomwezesha kufahamiana na watu wengi maarufu.
 
Katika [[ujana]] alivutiwa na [[maisha]] ya kidunia, lakini mvuto wa [[Ukristo]] ulishinda. Maisha yake yote alijilaumu sana kwa makosa yake ya ujanani, akazidi kutambua jinsi mtazamo wa Kipagani unavyopingana na maisha ya Kikristo.
[[Ubatizo|Alibatizwa]] huko Roma akiwa na umri wa miaka 25, akaendelea moja kwa moja kupambana kiume na [[tabia]] yake ngumu iliyochanganya [[ukali]] na wepesi wa kulia [[machozi]], [[unyofu]] na elekeo la [[kinyongo]], maisha magumu na [[hisia kali]], [[uadilifu]] na [[hamaki]], [[hisani]] na [[uchungu]] wa maneno.
 
[[Ubatizo|Alibatizwa]] huko Roma akiwa na umri wa miaka 2519, akaenda [[Aquileia]] kujiunga na [[jumuia]] ya [[askofu Valeriani]] akaendelea moja kwa moja kupambana kiume na [[tabia]] yake ngumu iliyochanganya [[ukali]] na wepesi wa kulia [[machozi]], [[unyofu]] na elekeo la [[kinyongo]], maisha magumu na [[hisia kali]], [[uadilifu]] na [[hamaki]], [[hisani]] na [[uchungu]] wa maneno.
Akishika [[kazi]], [[saumu]], [[sala]] na ma[[kesha]], alivuta wengi kumfuata [[Kristo]] kwa karibu zaidi.
 
Miaka [[375]] - [[377]] akiishi kama [[mkaa pweke]] katika [[jangwa]] la [[Kalchis]], kusini kwa [[Alepo]], [[Siria]], pamoja na kunaliki vitabu, aliendeleza ujuzi wake wa [[Kigiriki]] na kuanza alifundishwakufundishwa [[Kiebrania]] na [[Myahudi]] aliyeongokea [[Ukristo]].
 
Mwaka [[379]] kisha kupewa [[upadri]] na [[askofu]] [[Paulino wa Antiokia]] alikwenda [[Konstantinopoli]] alipokamilisha ujuzi wake wa [[lugha]] ya [[Kigiriki]] chini ya [[Gregori wa Nazianzo]].
 
Baada ya kuishi kama [[mmonaki]] miaka 3 akarudi Roma ([[382]]) na kuanza kutafsiri vitabu vya [[Origene]], mpaka alipoteuliwa na [[Papa Damaso I]] kuwa [[karani]] na mshauri wake kutokana na sifa aliyokuwanayo kama [[mtawa]] na [[msomi]].
 
Wakati huo alikamilisha ujuzi wake wa Kiebrania kwa msaada wa [[mwalimu wa dini]] ya Kiyahudi, na baada yake akazidi kutegemea elimu ya Kibiblia ya [[dini]] hiyo badala ya mbinu za Origene. Ndiyo sababu alikataa vitabu vya [[Deuterokanoni]].
 
kishika [[kazi]], [[saumu]], [[sala]] na ma[[kesha]], alivuta wengi kumfuata [[Kristo]] kwa karibu zaidi hasa [[wanawake]] wa koo bora za Roma waliojifunza pia Kigiriki na Kiebrania ili wazidi kuelewa na kutekeleza [[Neno la Mungu]] chini yake.
Baada ya papa huyo kufa ([[385]]), upinzani dhidi yake ulizidi, akahamia [[Mashariki ya Kati]], alipoanzisha na kuongoza [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume zenye elimu ya hali ya juu, akaishi katika mojawapo huko [[Bethlehemu]], akitafsiri na kufafanua Biblia hadi dakika yake ya mwisho ([[420]]).
 
Ndiyo sababu alikataa vitabu vya [[Deuterokanoni]].
 
Baada ya papa huyo kufa ([[385]]), upinzani dhidi yake ulizidi, akahamia [[Mashariki ya Kati]], alipoanzishaambapo [[hija|alihiji]] [[Nchi Takatifu]] na kutembelea wamonaki wa [[Misri]]. Hatimaye alianzisha na kuongoza [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume zenye elimu ya hali ya juu, akaishi katika mojawapo huko [[Bethlehemu]], kuanzia mwaka [[386]] akitafsiri na kufafanua Biblia hadi dakika yake ya mwisho ([[420]]).
 
== Mafundisho yake ==
Alimuandikia Mt. [[Paulino wa Nola]] mwongozo wa maisha yake: “Jitahidi kujua duniani kweli zile zitakazodumu [[milele]] mbinguni… Je, tangu hapa duniani mtu hajisikii kukaa katika [[ufalme wa mbinguni]] anapoishi na maandiko hayo, anapoyatafakari bila ya kujua wala kutafuta kingine chochote?”
 
Aliandika pia, “Mtu angewezaje kuishi bila kujua Maandiko, ambayo kwa njia yake anajifunza kumfahamu [[Kristo]] mwenyewe, aliye [[uzima]] wa waamini?” Kwa njia ya Biblia “Mungu anasema kila siku na waamini”. “Ukisali, unasema na [[Bwanaarusi]]; ukisoma, ni yeye anayesema nawe”.
 
Alimuandikia padri Neposyani: “Soma mara nyingi Maandiko ya Kimungu; afadhali, mikono yako isitue kamwe [[Kitabu]] kitakatifu. Jifunze humo unachotakiwa kufundisha… Usibandukane hata kidogo na mafundisho ya [[mapokeo]] uliyofundishwa, hivi kwamba uweze kuhubiri kadiri ya [[imani sahihi]] na kupinga wanaoikanusha… Matendo yako yasiachane kamwe na maneno yako, isije ikatokea kwamba unapohubiri kanisani mtu aweze kujisemea, ‘Mbona basi mwenyewe hafanyi hivyo?’ Angewezaje kujadili [[saumu|mfungo]] [[mwalimu]] aliyeshiba? Hata [[mwizi]] anaweza kulaumu [[uroho]]; lakini katika padri wa Kristo, [[akili]] na maneno vinatakiwa kulingana”.
 
Pia aliandika kwamba kila mmoja anatakiwa kuwa na [[ushirika]] na “[[ukulu wa Mt. Petro]]. Najua kwamba Kanisa linajengwa juu ya [[mwamba]] huo”. “Mimi nipo pamoja na yeyote aliyeunganika na mafundisho ya Mt. Petro”.
 
Pamoja na hayo, “katika [[ufafanuzi]] wa Maandiko matakatifu tunahitaji daima msaada wa [[Roho Mtakatifu]]”.
 
“Tumpende Yesu Kristo, tukilenga daima kuungana naye: hapo hata yaliyo magumu yataonekana rahisi kwetu”.
 
Kuhusu makanisa, aliandika: “Inafaa nini kupamba kuta kwa vito ikiwa Kristo anakufa kwa [[njaa]] katika nafsi ya [[fukara]]?” Tena, “Tumvike Kristo katika fukara, tumtembelee katika mtu anayeteseka, tumlishe katika mtu mwenye njaa, tumkaribishe katika yule asiye na [[nyumba]]”.
 
Alimshauri hivi [[mama]] mmoja kuhusu [[malezi]] ya [[binti]] yake: “Hakikisha kwamba kila siku asome sehemu fulani ya Maandiko… Baada ya [[sala]], lifuate [[somo]], na baada ya somo, ifuate sala… Badala ya vito na mavazi ya [[hariri]], apende Vitabu vya Kimungu… Kumbuka kwamba utaweza kumlea kwa mfano wako kuliko kwa maneno”.
 
Mashauri yake mengine alikuwa haya: “Uyapende Maandiko matakatifu, na [[hekima]] itakupenda wewe; uyapende kwa dhati, nayo yatakulinda; uyaheshimu, nayo yatakubembeleza. Yawe kwako kama [[ushanga]] wako na [[hereni]] zako”. “Upende [[elimu]] ya Maandiko, nawe hutapenda [[tamaa za mwili]]”.
 
== 'Vulgata' ==
[[Vulgata]], [[tafsiri]] ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]] nzima katika [[Kilatini]] ndiyo kazi yake muhimu zaidi. Aliianza kwa agizo la [[papa Damaso I]] mwaka [[382]], akaimalizaakaiendeleza baada yakwa miaka 23. Tafsiri hiyo ilipitishwa rasmi na [[mtaguso wa Trento]] kuwa haipotoshi imani, nayo ilitumika kama msingi wa tafsiri nyingine nyingi hadi [[karne XX]], ikiathiri sana [[ustaarabu]] wote wa magharibi. Hata hivyo tangu wakati wake ilikosolewa sana kwa kufuata mno msimamo wa [[Uyahudi]]. Ndiyo sababu alitaka kukataa vitabu vya [[Deuterokanoni]].
 
== Maandishi mengine ==
Pia alitafsiri vitabu vingine, alitunga [[hotuba]], [[barua]] pamoja na vitabu juu ya maisha ya watuWakristo watunzi maarufu zaidi ya 100 (yeye akiwa mmojawao) na ya wamonaki mbalimbali akilinganisha [[safari]] zao za kiroho na vitabu vya kutetea imani kwa kupinga mafundisho ya wenginewazushi.
 
Vilevile alihimiza wamonaki kuelekea [[ukamilifu]], akafundisha vijana elimu ya kiutu na ya Kikristo na kupokea wahiji katika [[hoteli]] maalumu ili wasikose [[mapokezi]] kama ilivyowatokea [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] na [[Bikira Maria]].
Pia alitafsiri vitabu vingine, alitunga [[hotuba]], [[barua]] pamoja na vitabu juu ya maisha ya watu maarufu (yeye akiwa mmojawao) na vya kupinga mafundisho ya wengine.
 
==Sala yake==