Papa Yohane XXIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Ndiyo sababu [[sikukuu]] yake huadhimishwa kila [[mwaka]] tarehe [[11 Oktoba]], siku aliyofungua [[mtaguso mkuu]] huo.
 
==Maisha==
Angelo Giuseppe Roncalli alikuwa mtoto wa nne kati ya 14 wa [[familia]] ya [[mkoa]] wa [[Lombardia]].<ref>{{cite web | place = [[Italy|IT]] | url= http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_20000903_john-xxiii_en.html |title=Pope John XXIII |publisher= Vatican | accessdate = 2013-06-23}}</ref> Alipata [[upadrisho]] tarehe [[10 Agosti]] [[1904]] akapangwa sehemu mbalimbali, hata kama [[balozi]] wa Papa nchini [[Ufaransa]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]] na [[Uturuki]].
 
Tarehe [[12 Januari]] [[1953]] [[Papa Pius XII]] alimfanya Roncalli kuwa [[kardinali]] pamoja na kuwa [[Patriarki]] wa [[Venice]].
 
Roncalli alichaguliwa kuwa Papa tarehe 28 Oktoba 1958 akiwa na umri wa miaka 76 baada ya kura kupigwa mara 11 na tofauti na matarajio.
 
Papa Yohane XXIII alizidi kushangaza wote alipoitisha [[mtaguso mkuu]] pamoja na [[Sinodi ya Roma]] na [[urekebisho]] wa [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]] tarehe [[25 Januari]] [[1959]].
 
Yohane alifariki kwa [[kansa]] ya [[tumbo]], miezi miwili baada ya kutoa barua yake maarufu [[Pacem in Terris]] kuhusu [[amani]] [[dunia]]ni.
 
==Heshima baada ya kifo==
Alizikwa katika mahandaki ya [[Basilika la Mt. Petro]] tarehe [[6 Juni]] 1963 na [[kesi]] ya kumtangaza mtakatifu ilifunguliwa tarehe [[18 Novemba]] [[1965]] na [[mwandamizi]] wake [[Papa Paulo VI]]. Baada ya kukubaliwa heshima kama Venerable tarehe [[20 Desemba]] [[1999]], alitangazwa mwenye heri tarehe 3 Septemba 2000 pamoja na [[Papa Pius IX]] na watatu wengine.
 
Baada ya hatua hiyo, [[masalia]] yalisogezwa kwenye [[altare]] ya Mt. [[Jeromu]] yaweze kuonekana na waamini kwa urahisi.
 
Tarehe [[5 Julai]] [[2013]], [[Papa Fransisko]] alisamehe uthibitisho wa [[muujiza]] wa pili aweze kutangazwa mtakatifu pamoja na [[Papa Yohane Paulo II]] tarehe 27 April 2014.<ref>{{Citation | date = Sep 30, 2013 | url = http://www.foxnews.com/world/2013/09/30/popes-john-paul-ii-john-xxiii-to-be-declared-saints-in-april/ | title = Popes John Paul II, John XXIII to be declared saints in April | publisher = Fox | newspaper = World News}}</ref><ref>{{cite web|url=https://www.youtube.com/watch?v=XG0DDhiskh0|title=Pope Francis declares Popes John Paul II and John XXIII Saints|first=Rajamanickam|last=Antonimuthu|format=YouTube|date=27 April 2014|accessdate=27 April 2014}}</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==