Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
 
Alipata elimu na malezi mazuri na tangu ujanani alihusiana na wamonaki wa jangwa la Tebais, halafu miaka 356-362 aliishi [[monasterini]].
 
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[Gnosi]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Line 24 ⟶ 25:
Dhidi ya Ario, aliyefuatwa mapema na watawala na maaskofu wengi, huo [[Mtaguso mkuu]] wa kwanza ulitunga [[kanuni ya imani]] ambamo ulitumia neno la [[Kigiriki]] ὁμοούσιος (''homoousios'', yaani "wa dhati ileile" ya [[Baba]]), ili kukiri kwa namna wazi usawa kamili wa [[Mungu Baba]] na [[Mwana]] aliyezaliwa naye bila kuumbwa.
 
Atanasi akishikilia moja kwa moja msimamo huo, pengine mkalikwa [[ukali]], dhidi ya waliopinga uteuzi wake na dhidi ya waliokataa ungamo hilo ulimvutiaalijivutia [[chuki]] ya Waario wa aina zote na [[dhuluma]] ya [[serikali]] iliyodai maelewano ili umoja wa dola usivunjike.
Mara baada ya kushika nafasi ya [[marehemu]] askofu Aleksanda, Atanasi alionyesha hatakubali maelewano tofauti na imani iliyoungamwa na umati wa maaskofu huko Nisea. Ushindani wake na serikali ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha Ario kwenye ushirika.
Line 106 ⟶ 107:
* [http://www.fourthcentury.com/index.php/athanasius-werke-contents English Key to Athanasius Werke]
* [http://www.fourthcentury.com/index.php/athanasius-chart The Writings of Athanasius in Chronological Order]
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{Walimu wa Kanisa}}