Isidori wa Sevilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
 
== Maisha ==
Alizaliwa na Severianus na Turtura huko [[Cartagena (Hispania)]], akiwa wa nne kati ya watoto watano, ambao wanne kati yao wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama watakatifu: [[Leandro wa Sevilia]], Fulgensi, [[FiorentinaFlorentina wa Cartagena]] naye mwenyewe. Kati yao, watatu walikuwa maaskofu, na wa kike alikuwa [[mtawa]].
 
Kaka yake, Leandro, [[msomi]] aliyeshika maisha magumu, ndiye aliyemlea baada ya [[kifo]] cha [[baba]] yao kwa [[nidhamu]] kubwa, akimtengenezea [[mazingira]] ya [[umonaki|kimonaki]] ambamo awajibike katika masomo akitumia [[maktaba]] yao kubwa ili kujiandaa akabili matatizo ya wakati ule.
 
Kutokana na matatizo hayo, akiwa bado [[mtoto]] ilimbidi aonje [[uchungu]] wa kupelekwa [[uhamisho]]ni. Hata hivyo alichangamkia [[utume]] wake wa kurudisha nchi yao katika [[Kanisa Katoliki]] na [[ustaarabu]] wa Kirumi.
Kisha kuwa [[mkleri]] huko Sevilia, Isidori alimrithi kaka yake Leandro kama askofu wa [[dayosisi|jimbo]] kuu hilo, akaliongoza kwa miaka 40, akijitahidi pande zote: katika [[teolojia]], [[liturujia]], [[sheria za Kanisa]] n.k.
 
Kisha kuwa [[mkleri]] huko Sevilia, mwaka [[599]] Isidori alimrithi kaka yake Leandro kama askofu wa [[dayosisi|jimbo]] kuu hilo, akaliongoza kwa miaka 4037, akijitahidi pande zote: katika [[teolojia]], [[liturujia]], [[sheria za Kanisa]] n.k.
Alishika nafasi ya maana katika matukio ya nchi yake wakati huo ilipotawaliwa na [[kabila]] la Kijerumani la [[Wavisigoti]], ambao aliwavuta kutoka [[uzushi]] wa [[Ario]] kwenye imani ya [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na ya [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]].
 
Kama [[rafiki]] yake [[Gregori Mkuu]], ilimbidi Isidori pia ajinyime kufuata elekeo lake la ndani la kujisomea ili ajitose kwa [[upendo]] kushughulikia [[wokovu]] wa watu wake. Ndivyo alivyoandika: “Mtu wa [[Kanisa]] upande mmoja anatakiwa kuwa amesulubiwa kwa [[ulimwengu]] kwa kufisha [[mwili]] wake, upande mwingine anatakiwa kukubali [[uamuzi]] wa Kikanisa - unapotokana na [[mapenzi ya Mungu]] - wa kuwa awajibike kwa [[unyenyekevu]] kutawala, hata asipotaka… Kwa kuwa watakatifu hawatamani kushughulikia mambo ya dunia na wanaugua kwa ndani pale ambapo kwa [[mpango]] wa [[fumbo]] wa Mungu wanabebeshwa ma[[jukumu]] kadhaa… Wanafanya wanachoweza ili kuyakataa lakini wanakubali kile walichotaka kutupa na wanafanya walichopendelea kukwepa. Kwa sababu wanaingia katika [[dhati]] ya [[moyo]] na humo wanatafuta kujua [[utashi]] wa fumbo wa [[Mungu]] unawaomba nini. Hapo wakitambua kwamba imewapasa kunyenyekea mipango ya Mungu, wanainamisha mioyo yao kwa [[nira]] ya matakwa yake”.
 
Kwa msingi huo, alipojadili suala la ubora wa [[maisha ya sala]], aliandika: “[[Yesu]] [[mwokozi]] ametuachia mfano wa [[maisha ya utendaji]] pale ambapo wakati wa [[mchana]] aliwajibika kufanya [[ishara]] na miujiza [[mji]]ni, lakini alionyesha maisha ya sala hasa alipojitenga [[mlima]]ni na kutumia [[usiku]] kusali… Hivyo [[mtumishi wa Mungu]], akimuiga [[Kristo]], awajibike katika sala hasa bila kujikatalia maisha ya utendaji. Isingekuwa vizuri kufanya tofauti. Kwa sababu, kama vile tunavyopaswa kumpenda Mungu kwa kuzamia sala, tunapaswa pia kumpenda [[jirani]] yetu kwa matendo”.
 
Alishika nafasi ya maana katika matukio ya nchi yake wakati huo ilipotawaliwa na [[kabila]] la Kijerumani la [[Wavisigoti]], ambao aliwavuta kutoka [[uzushi]] wa [[Ario]] kwenye imani ya [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na ya [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]]. Katika hilo alifurahia sana [[wongofu]] wa [[Hermenegild]], [[mrithi]] wa [[ufalme]] wa Wavisigoti.
 
Alishiriki [[Mtaguso IV wa Toledo]] ([[633]]) uliolenga kuunganisha [[Liturujia ya Toledo|liturujia maalumu ya Kihispania]]. Ndiye mwakilishi bora wa liturujia hiyo, aliyoirekebisha na kuistawisha.
Line 24 ⟶ 30:
Alipokaribia kufa, aliamua kupokea [[kitubio]] cha hadharani kadiri ya [[ibada]] aliyoitunga mwenyewe.
 
PiaKutokana na [[malezi]] aliyoyapata, alistawisha [[elimu]] yoyote, ya Kikristo na ya kidunia, na [[fasihi]] kuliko watu wote wa wakati wake.
 
== Maandishi ==
Aliandika sana juu ya mambo mbalimbali: [[sayansi]], [[historia]], [[teolojia]], [[maadili]], [[sheria za Kanisa]] na ufafanuzi wa [[Biblia]] akitumia ma[[dondoo]] ya [[asili]] na [[aina]] tofauti sana, pengine bila kuyasanisi kwa mpango wa kuridhisha. [[Juhudi]] yake ilikuwa kutopoteza chochote cha zamani kilichoweza kusaidia siku za mbele.
 
Vitabu muhimu zaidi ni vile 20 vya ''Etymologiae'', ambavyo aliviandika hasa kwa ajili ya malezi ya [[wakleri]] na vilikusanya ujuzi wote wa wakati ule vikatumika sana katika [[Karne za Kati]].
Line 56 ⟶ 62:
[[Jamii:Waliofariki 636]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Hispania]]
[[Jamii:Wanahistoria wa Hispania]]
[[Jamii:Watakatifu wa Hispania]]