Beda Mheshimiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
==Maisha==
===Vyanzo===
Karibu yale yote tunayoyajua kuhusu maisha ya Beda yamo katika sura ya mwisho ya ''[[Historia Ecclesiastica]]'', aliyoimaliza mwaka 731 hivi, ambapo anadokeza kuwa yuko katika mwaka wa 59 wa maisha yake, hivyo alizaliwa 672–673.
 
Habari nyingine tunazipata katika barua ya mwanafunzi wake Cuthbert kuhusu kifo chake.
 
===Asili na wito===
Beda hasemi kitu kuhusu asili yake, lakini kuna dalili kuwa [[familia]] yake ilikuwa na hali nzuri katika jamii.
 
Line 22 ⟶ 24:
Alipofikia umri wa miaka 7, alitumwa monasterini ili apate [[malezi]] kutoka kwa abati huyo, halafu kwa [[Ceolfrith]]. Beda haelezi kama lengo la awali lilikuwa awe [[mmonaki]] baadaye. Lakini ndivyo ilivyotokea, akatumia maisha yake yote huko “kuimbia sifa za [[Mungu]], kusoma, kufundisha na kuandika”, alivyosema mwenyewe.
 
===Mmonaki na padri===
Alipofikia miaka 19 tu, ([[692]] hivi), alipewa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]], na alipofikia miaka 30 ([[702]] hivi) alipata [[upadrisho]].
 
Line 56 ⟶ 59:
Alifariki tarehe 26 Mei 735 akazikwa Jarrow lakini masalia yake yakahamishiwa kwenye [[kanisa kuu]] la [[Durham]] katika [[karne ya 11]].
 
== VyanzoMarejeo ==
* {{cite book |author=Bede |editor=Colgrave, Bertram and [[Roger Mynors|Mynors, R. A. B.]] |title=[[Historia ecclesiastica gentis Anglorum|Bede's Ecclesiastical History of the English People]] |location= Oxford |publisher=Clarendon Press|year=1969 |isbn= 0-19-822202-5}} (Parallel Latin text and English translation with English notes.)
 
Line 112 ⟶ 115:
* [http://oll.libertyfund.org/Home3/Author.php?recordID=0048 Saint Bede] at ''The Online Library of Liberty''
* [http://www.findagrave.com/cgi-bin/fg.cgi?page=gr&GRid=21856 Bede the Venerable] at [[Find a Grave]]
 
{{Mbegu-Mkristo}}
 
{{Walimu wa Kanisa}}