Tofauti kati ya marekesbisho "Lugha za Kiaustronesia"

90 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Lugha za Kiaustronesia''' ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha Madagaska. Katika...')
 
[[Picha:Langues-autronesiennes.png|thumbnail|Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani]]
'''Lugha za Kiaustronesia''' ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha [[Madagaska]]. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji milioni 386. Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi mno ni [[Kimalay]] ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.
 
Anonymous user