Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Rotlink"

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{karibu}}~~~~')
 
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:44, 16 Oktoba 2013 (UTC)
 
Mpendwa, nakuomba uangalie baada ya siku 2,3 kurasa hizi mbili:
 
1. [[Wikipedia:Wakabidhi#Kusafisha_orodha_ya_Wakabidhi_mwaka_2014]]
2. [[Wikipedia:Ukurasa_wa_jumuia#Wiki_Indaba_2014]]
 
Kuhusu 1) napendekeza kuwachagua wakabidhi wapya na kuondoa wale waliomo katika orodha ya wakabidhi lakini hawakuwepo tangu miaka 2.
 
Kuhusu 2): nahitaji msaada na mawazo yenu. Nitashiriki kwenye mkutano wa Wikimedia mwezi wa Juni. Inaonekana mimi ndipo mchnagiaji wa pekee kutoka Wikipedia yetu. Ninajitahidi kupeleka mawazo ya jumuiya yetu. Naomba michango!
 
Nitaongeza karibuni mawazo yangu kuhusu mambo ninayoona kuwa na maana kwa mtazamo wangu. Ujumb huu natuma kwa wachangiaji wanaoonekana katika orodha ya wachangiaji hai waliochangia zaidi ya mara 3 katika siku 30 zilizopita!
 
Ndimi wako '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:51, 13 Mei 2014 (UTC)