Kisotho-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kisotho-Kaskazini''' (pia Kisepedi) ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasepedi]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini [[Botswana]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kaskazini kikoiko katika kundi la S30.
 
==Viungo vya nje==