Kivenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kivenda''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wavenda]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kivenda nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 980,000. Pia kuna wasemaji 84,000 nchini [[Zimbabwe]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kivenda kikoiko katika kundi la S20.
 
== Viungo vya nje ==