Kizulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kizulu''' ('''isiZulu''') ni lugha ya [[Wazulu]] inayoongelewa nchini [[Afrika Kusini]], na idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa milioni 9-10 hasa katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kizulu huhesabiwa kati ya lugha za [[Kinguni]] ndani ya [[lugha za Kibantu]].
 
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kizulu nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Uswazi]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kizulu kikoiko katika kundi la S40.
 
Wakati wa [[mfecane]] katika [[karne ya 19]] wasemaji wa lugha ya Kizulu zimehama hadi [[Zimbabwe]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]] ambako lugha imebadilika kiasi kuwa kwa mfano [[Kindebele]] au [[Kingoni]].