Kimonzombo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1:
'''Kimonzombo''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Jamhuri ya Kongo]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] inayozungumzwa na [[Wamonzombo]]. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimonzombo nchini Jamhuri ya Kongo imehesabiwa kuwa watu 6000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Januri ya Kidemokrasia ya Kongo na 1600 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimonzombo kikoiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
 
==Viungo vya nje==